Acts 26:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakuokoa na watu wa Israeli na watu wa mataifa mengine ambao mimi ninakutuma kwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakuokoa kutoka kwa watu wako na watu wa Mataifa ambao ninakutuma kwao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nikikuokoa na watu wako, na watu wa Mataifa, ambao nakutuma kwao;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nitakulinda dhidi ya watu wako na dhidi ya watu wasio Wayahudi, ninaokutuma kwao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nitakuokoa na watu wa Israeli na watu wa mataifa mengine ambao mimi ninakutuma kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakuokoa na watu wa Israeli na watu wa mataifa mengine ambao mimi ninakutuma kwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakuokoa kutoka kwa watu wako na watu Mataifa ambao ninakutuma kwao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakuokoa kutoka kwa watu wako na watu wa Mataifa ambao ninakutuma kwao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nikikuokoa na watu wako, na watu wa Mataifa, ambao nakutuma kwao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakuokoa na watu wa Israeli na watu wa mataifa mengine ambao mimi ninakutuma kwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakuokoa kwao walio wa kwenu nako kwao wamizimu, maana ndiko, nitakakokutuma,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nikikuokoa na watu wako, na watu wa Mataifa, ambao nakutuma kwao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakuokoa toka mikono ya taifa lako la Waisraeli na ya watu wa mataifa mengine. Ninakutuma kwao
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nikikuokoa na watu wako, na watu wa mataifa, ambao nakutuma kwao;