Acts 26:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu hiyo, Wayahudi walinikamata nikiwa hekaluni, wakajaribu kuniua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni kwa sababu hii Wayahudi walinikamata nilipokuwa Hekaluni, wakataka kuniua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu ya hayo Wayahudi wakanikamata ndani ya hekalu wakajaribu kuniua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hii ndiyo sababu Wayahudi walinikamata na kujaribu kuniua Hekaluni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa sababu hiyo, Wayahudi walinikamata nikiwa Hekaluni, wakajaribu kuniua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu hiyo, Wayahudi walinikamata nikiwa hekaluni, wakajaribu kuniua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni kwa sababu hii Wayahudi walinikamata nilipokuwa Hekaluni, wakataka kuniua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni kwa sababu hii Wayahudi walinikamata nilipokuwa Hekaluni, wakataka kuniua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu ya hayo Wayahudi wakanikamata nikiwa ndani ya hekalu wakajaribu kuniua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu hiyo, Wayahudi walinikamata nikiwa hekaluni, wakajaribu kuniua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hiyo Wayuda walinikamata, nilipokuwa hapo Patakatifu, wakajaribu kuniua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu ya hayo Wayahudi wakanikamata ndani ya hekalu wakajaribu kuniua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kwa sababu ya maneno hayo Wayuda walinikamata ndani ya hekalu na kutaka kuniua.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu ya hayo Wayahudi wakanikamata ndani ya hekalu wakajaribu kuniua.