Acts 26:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Agripa akamjibu Paulo, “Kidogo tu utanifanya Mkristo!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Agripa akamwambia Paulo, “Je, unanishawishi kwa haraka namna hii niwe mfuasi wa Al-Masihi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Agripa akamwambia Paulo, Kwa maneno machache wadhani kunifanya mimi kuwa Mkristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mfalme Agripa akamwambia Paulo, “Unadhani unaweza kunishawishi kirahisi kiasi hicho ili niwe Mkristo?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Agripa akamjibu Paulo, “Kidogo tu utanifanya Mkristo!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Agripa akamjibu Paulo, “Kidogo tu utanifanya Mkristo!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Agripa akamwambia Paulo, “Je, unanishawishi kwa haraka namna hii niwe Mkristo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Agripa akamwambia Paulo, “Je, unanishawishi kwa haraka namna hii niwe mfuasi wa Al-Masihi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Agripa akamwambia Paulo, Kwa maneno machache wadhani kunifanya mimi kuwa Mkristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Agripa akamjibu Paulo, “Kidogo tu utanifanya Mkristo!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Agripa akamwambia Paulo: Pamesalia padogo, ungenishinda, nikawa Mkristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Agripa akamwambia Paulo, Kwa maneno machache wadhani kunifanya mimi kuwa Mkristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Agripa akamwambia Paulo: “Unazani kwamba kwa wakati kidogo utaweza kunivuta kuwa mukristo?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Agrippa akamwambia Paolo, Kwa maneno machache wataka kunifanya kuwa Mkristo.