Acts 26:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokwisha ondoka, waliambiana, “Mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo au kifungo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokuwa wakiondoka, wakaambiana, “Mtu huyu hafanyi jambo lolote linalostahili kifo au kifungo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata walipoondoka wakasemezana, wakisema, Mtu huyu hatendi neno linalostahili kifo wala kufungwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na kuondoka chumbani. Walikuwa wanaongea wenyewe. Walisema, “Mtu huyu hajafanya chochote kinachostahili kuuawa au kuwekwa gerezani.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipokwisha ondoka, waliambiana, “Mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo au kifungo.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokwisha ondoka, waliambiana, “Mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo au kifungo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati walipokuwa wakiondoka, wakaambiana “Mtu huyu hafanyi jambo lo lote linalostahili kufa au kufungwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokuwa wakiondoka, wakaambiana, “Mtu huyu hafanyi jambo lolote linalostahili kufa au kufungwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata walipoondoka wakasemezana, wakisema, Mtu huyu hatendi neno linalostahili kifo wala kufungwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokwisha ondoka, waliambiana, “Mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo au kifungo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakajongea pembeni, wakasemezana wao kwa wao: Mtu huyu hakufanya neno linalopasa, auawe au afungwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata walipoondoka wakasemezana, wakisema, Mtu huyu hatendi neno linalostahili kifo wala kufungwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walipokwisha kuondoka wakasemezana: “Mutu huyu hakutenda neno linalomupasa kuuawa wala kufungwa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakaenda mbali kidogo wakasemezana, wakisema, ya kama, Mtu huyo hatendi neno linalostahili kifo wala kufungwa.