Acts 27:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini baada ya muda mfupi, ikavuma tufani kubwa iitwayo Eurakilo kutoka kisiwa cha Krete.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada ya muda mchache ukavuma upepo wa nguvu wa namna ya tufani, uitwao Eurakilo,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini upepo wenye nguvu unaoitwa “Kaskazini-Mashariki” ulikuja kwa kukikatisha kisiwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini baada ya muda mfupi ikavuma tufani kubwa iitwayo “Eurakilo” toka kisiwa cha Krete.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini baada ya muda mfupi ikavuma tufani kubwa iitwayo “Eurakilo” toka kisiwa cha Krete.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada ya muda mchache ukavuma upepo wa nguvu wa namna ya tufani, uitwao Eurakilo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kitambo kidogo kilipopita, wakatokewa na upepo mkali wenye ngurumo unaoitwa kwao Mkweza Mawimbi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada ya muda mchache ukavuma upepo wa nguvu wa namna ya tufani, uitwao Eurakilo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nyuma kidogo, upepo mukali sana wa zoruba unaotokea upande wa mashariki-kaskazini ukavuma ukishuka tokea kwenye kisanga.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baada ya muda mchache upepo wa nguvu wa namna ya tufani, uitwao Eurakulo, ukaipiga merikebu.