Acts 27:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upepo uliipiga ile meli, na kwa kuwa hatukuweza kuukabili, tukaiacha ikokotwe na huo upepo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Meli ikapigwa na dhoruba na haikuweza kushindana na ule upepo, tukarudishwa baharini upepo ulikokuwa unaelekea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
merikebu iliposhikwa, na kutoweza kushindana na upepo, tukaiacha tukachukuliwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Upepo huu uliichukua meli na kuisukumia mbali. Meli haikuweza kwenda kinyume na upepo, hivyo tulisimama tukijaribu kuuacha upepo utusukume.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Upepo uliipiga ile meli, na kwa kuwa hatukuweza kuukabili, tukaiacha ikokotwe na huo upepo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upepo uliipiga ile meli, na kwa kuwa hatukuweza kuukabili, tukaiacha ikokotwe na huo upepo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Meli ikapigwa na dhoruba na haikuweza kushindana na ule upepo, tukarudishwa baharini upepo ulikokuwa unaelekea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Meli ikapigwa na dhoruba na haikuweza kushindana na ule upepo, tukarudishwa baharini upepo ulikokuwa unaelekea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
merikebu iliposhikwa, na kutoweza kushindana na upepo, tukaiacha tukachukuliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upepo uliipiga ile meli, na kwa kuwa hatukuweza kuukabili, tukaiacha ikokotwe na huo upepo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chombo kikapokonywa nao, kisiweze kuushinda upepo huo na kuuelekea, kwa hiyo tukakiacha, kichukuliwe nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
merikebu iliposhikwa, na kutoweza kushindana na upepo, tukaiacha tukachukuliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upepo ukapeleka chombo, nacho hakikuweza kushindana nao. Halafu tukakiacha tu kipelekwe na upepo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikachukuliwa, maana haikuweza kushindana na upepo, tukaiacha tukiichukuliwa.