Acts 27:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tulikuwa tunapigwa na dhoruba kwa nguvu, kiasi kwamba kesho yake walianza kutupa shehena toka kwenye meli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa maana tulikuwa tukipigwa sana na ile tufani, siku ya pili yake wakaanza kuitupa shehena baharini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku iliyofuata upepo ulivuma kinyume nasi kwa nguvu kiasi kwamba watu walitupa baadhi ya vitu kutoka katika shehena ya meli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tulikuwa tunapigwa na dhoruba kwa nguvu kiasi kwamba kesho yake walianza kutupa shehena toka melini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tulikuwa tunapigwa na dhoruba kwa nguvu, kiasi kwamba kesho yake walianza kutupa shehena toka melini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa maana tulikuwa tukipigwa sana na ile tufani, kesho yake wakaanza kuitupa shehena baharini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake upepo ukizidi kutuvumia kwa nguvu zote, wakatupa mizigo baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa maana tulikuwa tukipigwa sana na ile tufani, siku ya pili yake wakaanza kuitupa shehena baharini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake kwa kuona jinsi zoruba ilivyoendelea kutusukumasukuma kwa nguvu, wakaanza kutupa mizigo katika bahari.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kwa kuwa tukawa tukipigwa sana na ile tufani, siku ya pili yake wakaanza kuitupa shehena baharini.