Acts 27:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya tatu, wakaanza pia kutupa majini vifaa vya meli kwa mikono yao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya tatu, wakatupa vyombo vya meli baharini kwa mikono yao wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya tatu wakatupa vyombo vya merikebu kwa mikono yao wenyewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku moja baadaye wakatupa vifaa vya meli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku ya tatu, wakaanza pia kutupa majini vifaa vya meli kwa mikono yao wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya tatu, wakaanza pia kutupa majini vifaa vya meli kwa mikono yao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
siku ya tatu kwa mikono yao wenyewe, wakatupa vyombo vya meli baharini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya tatu, wakatupa vyombo vya meli baharini kwa mikono yao wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya tatu wakatupa vyombo vya merikebu kwa mikono yao wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya tatu, wakaanza pia kutupa majini vifaa vya meli kwa mikono yao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya tatu tukatupa kwa mikono yetu hata vitu vya chombo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya tatu wakatupa vyombo vya merikebu kwa mikono yao wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na siku iliyofuata wakaamua kutupa hata vifaa vya chombo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Siku ya tatu tukatupa vyombo vya merikebu kwa mikono yetu wenyewe.