Acts 27:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanamaji walitaka kutoroka, na walikwisha kuteremsha ule mtumbwi majini, wakijisingizia kwamba wanakwenda kuteremsha nanga upande wa mbele wa meli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika jaribio la kutoroka kutoka kwa meli, mabaharia wakashusha mashua ya kuokolea watu baharini, wakijifanya kwamba wanaenda kushusha nanga za omo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baharia walipotaka kukimbia na kuiacha merikebu, wakiishusha mashua baharini kana kwamba wanataka kutupa nanga za omo,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya mabaharia walitaka kuiacha meli, waliishusha majini mtumbwi wa kuokolea. Walitaka watu wengine wadhani kuwa walikuwa wanatupa nanga upande wa mbele wa meli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanamaji walitaka kutoroka, na walikwisha kuteremsha ule mtumbwi majini, wakijisingizia kwamba wanakwenda kuteremsha nanga upande wa mbele wa meli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanamaji walitaka kutoroka, na walikwisha kuteremsha ule mtumbwi majini, wakijisingizia kwamba wanakwenda kuteremsha nanga upande wa mbele wa meli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika jaribio la kutoroka kutoka kwenye meli, mabaharia wakashusha mashua ya kuokolea watu baharini, wakijifanya kwamba wanakwenda kushusha nanga za omo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika jaribio la kutoroka kutoka kwenye meli, mabaharia wakashusha mashua ya kuokolea watu baharini, wakijifanya kwamba wanakwenda kushusha nanga za omo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baharia walipotaka kukimbia na kuiacha merikebu, wakiishusha mashua baharini kana kwamba wanataka kutupa nanga za omo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanamaji walitaka kutoroka, na walikwisha kuteremsha ule mtumbwi majini, wakijisingizia kwamba wanakwenda kuteremsha nanga upande wa mbele wa meli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wabaharia walitaka kukimbia na kukiacha chombo. Kwa hiyo wakaishusha mashua baharini, wakasema: Twataka kuzitia hata nanga za mbele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baharia walipotaka kukimbia na kuiacha merikebu, wakiishusha mashua baharini kana kwamba wanataka kutupa nanga za omo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wabaharia walitafuta kukimbia toka ndani ya chombo, wakashusha mutumbwi katika bahari, wakisema kwamba wanataka kufunga nanga tokea upande wa mbele.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)