Acts 27:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo wale askari walizikata kamba zilizokuwa zimeshikilia ule mtumbwi, wakauacha uchukuliwe na maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo basi wale askari wakakata kamba zilizoshikilia ile mashua ya kuokolea watu kwenye meli, wakaiacha ianguke humo baharini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi askari wakazikata kamba za mashua, wakaiacha ianguke.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo askari wakakata kamba na kuuacha mtumbwi uanguke majini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo wale askari walizikata kamba zilizokuwa zimeshikilia ule mtumbwi, wakauacha uchukuliwe na maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo wale askari walizikata kamba zilizokuwa zimeshikilia ule mtumbwi, wakauacha uchukuliwe na maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo basi wale maaskari wakakata kamba zilizoshikilia ile mashua ya kuokolea watu kwenye meli, wakaiacha ianguke humo baharini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo basi wale askari wakakata kamba zilizoshikilia ile mashua ya kuokolea watu kwenye meli, wakaiacha ianguke humo baharini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi askari wakazikata kamba za mashua, wakaiacha ianguke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo wale askari walizikata kamba zilizokuwa zimeshikilia ule mtumbwi, wakauacha uchukuliwe na maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, askari walipozikata kamba za masha, wakaiacha, ianguke baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi askari wakazikata kamba za mashua, wakaiacha ianguke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu waaskari wakakata kamba zilizofunga ule mutumbwi na kuachilia uanguke katika bahari.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi askari wakazikata kamba za mashua, wakaiacha ianguke.