Acts 27:36 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wakachangamka wote, wakala chakula wenyewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wote wakafarijika na kuanza kula pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wakachangamka wote, wakala chakula wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wote walipotulia mioyo, wakala chakula nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wakachangamka wote, wakala chakula wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wote wakatiwa moyo tena, nao vilevile wakakula chakula.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakachangaʼmka wote, wakala vyakula wenyewe.