Acts 27:37 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla tulikuwa watu 276 katika meli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu mia mbili na sabini na sita (276).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sisi tuliokuwa ndani ya merikebu tulipata watu mia mbili na sabini na sita.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
(Walikuwemo watu mia mbili sabini na sita ndani ya meli.)
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jumla tulikuwa watu mia mbili na sabini na sita katika meli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla tulikuwa watu 276 katika meli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu 276.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu 276.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sisi tuliokuwa ndani ya merikebu tulikuwa watu mia mbili na sabini na sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla tulikuwa watu 276 katika meli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasi sote tuliokuwa humo chomboni wote pamoja tulikuwa watu 276.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sisi tuliokuwa ndani ya merikebu tulipata watu mia mbili na sabini na sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa jumla tulikuwa watu mia mbili na makumi saba na sita ndani ya chombo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na sisi tuliokuwa ndani ya merikebu tulipata watu miateen na sabaini na sita.