Acts 27:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kila mmoja kula chakula cha kutosha, walipunguza uzito wa meli kwa kutupa nafaka baharini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya watu wote kula chakula cha kutosha, wakapunguza uzito wa meli kwa kutupa ngano baharini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena ya merikebu, wakiitupa ngano baharini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tulikula kila tulichohitaji. Kisha tukaanza kumwaga nafaka baharini ili meli iwe nyepesi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya kila mmoja kula chakula cha kutosha, walipunguza uzito wa meli kwa kutupa nafaka baharini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kila mmoja kula chakula cha kutosha, walipunguza uzito wa meli kwa kutupa nafaka baharini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya watu wote kula chakula cha kutosha, wakapunguza uzito wa meli kwa kutupa ngano baharini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya watu wote kula chakula cha kutosha, wakapunguza uzito wa meli kwa kutupa ngano baharini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena ya merikebu, wakiitupa ngano baharini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kila mmoja kula chakula cha kutosha, walipunguza uzito wa meli kwa kutupa nafaka baharini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliposhiba vyakula wakaupunguza uzito wa chomboni wakitupa ngano baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena ya merikebu, wakiitupa ngano baharini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokwisha kushiba, wakatupa mizigo ya ngano katika bahari kwa kupunguza uzito wa chombo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena va merikebu, wakaitupa nganu baharini.