Acts 27:42 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Askari walitaka kuwaua wafungwa wote kwa kuogopa kwamba wangeogelea hadi pwani na kutoroka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale askari wakapanga kuwaua wale wafungwa ili kuzuia hata mmoja wao asiogelee na kutoroka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shauri la askari lilikuwa kuwaua wafungwa, mtu asiogelee na kukimbia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Askari waliamua kuwaua wafungwa ili asiwepo mfungwa hata mmoja atakayeogelea na kutoroka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Askari walitaka kuwaua wafungwa wote kwa kuogopa kwamba wangeogelea hadi pwani na kutoroka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Askari walitaka kuwaua wafungwa wote kwa kuogopa kwamba wangeogelea hadi pwani na kutoroka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale maaskari wakapanga kuwaua wale wafungwa ili kuzuia hata mmoja wao asiogelee na kutoroka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale askari wakapanga kuwaua wale wafungwa ili kuzuia hata mmoja wao asiogelee na kutoroka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpango wa askari ulikuwa kuwaua wafungwa, mtu asiogelee na kukimbia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Askari walitaka kuwaua wafungwa wote kwa kuogopa kwamba wangeogelea hadi pwani na kutoroka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Askari walipotaka kuwaua wafungwa, maana mtu asipate kukimbia kwa kuogelea,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shauri la askari lilikuwa kuwaua wafungwa, mtu asiogelee na kukimbia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu waaskari wakapata wazo la kuwaua wafungwa, kusudi hata mutu mumoja kati yao asitoroke kwa kuogelea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Shauri la askari lilikuwa wafungwa wauawe, mtu asiogelee na kukimbia.