Acts 27:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu tulivuka bahari ya Kilikia na Pamfulia, tukatia nanga Mura, mji wa Lukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya sisi kuvuka bahari iliyo upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira huko Likia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tulipopita bahari ya upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira, mji wa Likia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tulikwenda kwa kukatisha bahari upande wa Kilikia na Pamfilia. Kisha tukafika katika mji wa Mira katika jimbo la Likia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Halafu tulivuka bahari ya Kilikia na Pamfulia, tukatia nanga Mura, mji wa Lukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu tulivuka bahari ya Kilikia na Pamfulia, tukatia nanga Mura, mji wa Lukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya sisi kuvuka bahari iliyoko upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira huko Likia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya sisi kuvuka bahari iliyoko upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira huko Likia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tulipopita bahari ya upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira, mji wa Likia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu tulivuka bahari ya Kilikia na Pamfulia, tukatia nanga Mura, mji wa Lukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tulipokwisha kuivuka bahari ya Kilikia na ya Pamfilia, tukafika Mira wa Likia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tulipopita bahari ya upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira, mji wa Likia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tukavuka bahari upande wa jimbo la Kilikia na Pamfilia, na kufika katika muji Mira, wa jimbo la Likia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
tukaipita bahari ya upande wa Kilikia na Pamfulia, tukafikia Mura, mji wa Lukia.