Acts 27:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo yule ofisa alikuta meli moja ya Aleksandria iliyokuwa inakwenda Italia, na hivyo akatupandisha ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko yule kiongozi wa askari akapata meli ya Iskanderia ikielekea Italia, akatupandisha humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huko yule akida akakuta merikebu ya Iskanderia, tayari kusafiri kwenda Italia, akatupandisha humo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tulipofika hapo ofisa wa jeshi akapata meli iliyotoka katika mji wa Iskanderia iliyokuwa inakwenda Italia. Akatupandisha humo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo yule ofisa alikuta meli moja ya Aleksandria iliyokuwa inakwenda Italia, na hivyo akatupandisha ndani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo yule ofisa alikuta meli moja ya Aleksandria iliyokuwa inakwenda Italia, na hivyo akatupandisha ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko yule jemadari akapata meli ya Aleksandria ikielekea Italia, akatupandisha humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko yule kiongozi wa askari akapata meli ya Iskanderia ikielekea Italia, akatupandisha humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huko yule ofisa akakuta merikebu ya Aleksandria, tayari kusafiri kwenda Italia, akatupandisha humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo yule ofisa alikuta meli moja ya Aleksandria iliyokuwa inakwenda Italia, na hivyo akatupandisha ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huku bwana askari akaona chombo kilichotoka Alekisandria kwenda Italia, akatupakia mle.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huko yule akida akakuta merikebu ya Iskanderia, tayari kusafiri kwenda Italia, akatupandisha humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule yule mukubwa wa waaskari akakuta chombo kilichotoka Alesanduria kwa kwenda Italia, naye akatupandisha ndani yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na huko yule akida akakuta merikebu ya Iskanderia, tayari kusafiri hatta Italia, akatupandisha.