Acts 27:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri,” karibu na mji wa Lasea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tukaambaa na pwani kwa shida, tukafika sehemu iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tukaipita kwa shida, pwani kwa pwani, tukafika mahali paitwapo Bandari Nzuri. Karibu na hapo pana mji uitwao Lasea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tulisafiri sambamba na pwani, lakini kwa shida. Ndipo tukafika mahali palipoitwa Bandari Salama, karibu na mji wa Lasea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri”, karibu na mji wa Lasea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri,” karibu na mji wa Lasea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tukaambaa-ambaa na pwani, kwa shida tukafika sehemu moja iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tukaambaa na pwani kwa shida, tukafika sehemu iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tukaipita kwa shida, pwani kwa pwani, tukafika mahali paitwapo Bandari Nzuri. Karibu na hapo pana mji uitwao Lasea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo “Bandari Nzuri,” karibu na mji wa Lasea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ikawa kazi kubwa kukielekeza chombo baharini, kisha tukafika mahali panapoitwa Matuo Mazuri, ni karibu ya mji wa Lasea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tukaipita kwa shida, pwani kwa pwani, tukafika mahali paitwapo Bandari Nzuri. Karibu na hapo pana mji uitwao Lasea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tuliendelea pembenipembeni yake kwa shida sana hata tukafika pahali panapoitwa “Vivuko Vizuri,” karibu na muji Lasea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tukaipita kwa shidda, pwani kwa pwani, tukafika mahali paitwapo Bandari Nzuri. Karibu na hapo pana mji uitwao Lasaya.