Acts 28:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatupatia heshima nyingi, nasi tulipokuwa tayari kusafiri kwa meli, wakatupakilia vitu vyote tulivyokuwa tunavihitaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wakatuheshimu kwa heshima nyingi; basi tulipoabiri wakatupakilia vitu vile tulivyokuwa na haja navyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu katika kisiwa hiki walituheshimu sana. Na baada ya kuwa pale kwa miezi mitatu, tukawa tayari kuondoka, walitupa kila kitu tulichohitaji kwa ajili ya safari yetu. Tulipanda meli iliyotoka Iskanderia iliyokaa katika kisiwa cha Malta wakati majira ya baridi. Mbele ya meli kulikuwa alama ya miungu pacha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatupa heshima nyingi, nasi tulipokuwa tayari kusafiri kwa njia ya bahari, wakapakia melini vitu vyote tulivyokuwa tunavihitaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatupa heshima nyingi, nasi tulipokuwa tayari kusafiri kwa njia ya bahari, wakapakia melini vitu vyote tulivyokuwa tunavihitaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wakatuheshimu kwa heshima nyingi; basi tulipoabiri wakatupakilia vitu vile tulivyokuwa na haja navyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakatutukuza kwa matukuzo mengi. Nasi tulipoingia chomboni tena, wakatupakilia navyo vyote vya kutumia njiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wakatuheshimu kwa heshima nyingi; basi tulipoabiri wakatupakilia vitu vile tulivyokuwa na haja navyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wakatuheshimu sana, na wakati tulipoondoka kwa njia ya chombo kwa kuendelea wakatupatia vitu vyote tulivyohitaji kwa safari yetu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na tulipoondoka wakatupakilia vitu vile tulivyokuwa na haja navyo.