Acts 28:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tulifika katika mji wa Sirakusa, tukakaa hapo kwa siku tatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kituo chetu cha kwanza kilikuwa Sirakusa na tukakaa huko siku tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tukafika Sirakusa, tukakaa siku tatu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tulisimama katika mji wa Sirakuse. Tulikaa pale kwa siku tatu kisha tukaondoka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tulifika katika mji wa Sirakusa, tukakaa hapo kwa siku tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tulifika katika mji wa Sirakusa, tukakaa hapo kwa siku tatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kituo chetu cha kwanza kilikuwa Sirakusa na tukakaa huko siku tatu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kituo chetu cha kwanza kilikuwa Sirakusa na tukakaa huko siku tatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tukafika Sirakusa, tukakaa siku tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tulifika katika mji wa Sirakusa, tukakaa hapo kwa siku tatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tulipofika Sirakuse, tukakaa huko siku tatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tukafika Sirakusa, tukakaa siku tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tulipofika Sirakuse, tukakaa kule kwa muda wa siku tatu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tukafika Surakusa, tukakaa siku tatu.