Acts 28:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko tuliwakuta ndugu kadhaa ambao walituomba tukae nao kwa juma moja. Hivi ndivyo tulivyopata kufika Roma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko tukawakuta ndugu, nasi tukakaribishwa tukae nao kwa siku saba. Hivyo tukaendelea na safari hadi Rumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huko tukakuta ndugu, wakatusihi tukae nao siku saba; na hivi tukafika Rumi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tuliwapata baadhi ya waamini pale, walituomba tukae nao kwa wiki moja. Mwishowe tulifika Rumi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huko tuliwakuta ndugu kadhaa ambao walituomba tukae nao kwa juma moja. Hivi ndivyo tulivyopata kufika Roma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko tuliwakuta ndugu kadhaa ambao walituomba tukae nao kwa juma moja. Hivi ndivyo tulivyopata kufika Roma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko tukawakuta ndugu, nasi tukakaribishwa tukae nao kwa siku saba. Hivyo tukaendelea na safari mpaka Rumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko tukawakuta ndugu, nasi tukakaribishwa tukae nao kwa siku saba. Hivyo tukaendelea na safari mpaka Rumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huko tukakuta ndugu, wakatusihi tukae nao siku saba; na hivi ndivyo tulifika Rumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko tuliwakuta ndugu kadhaa ambao walituomba tukae nao kwa juma moja. Hivi ndivyo tulivyopata kufika Roma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko tukakuta ndugu, tukabembelezwa nao, tukae kwao siku saba. Ndivyo, tulivyokwenda kufika Roma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huko tukakuta ndugu, wakatusihi tukae nao siku saba; na hivi tukafika Rumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule tukakuta wandugu waamini, nao wakatualika tukae pamoja nao kwa muda wa juma moja. Ni vile tulivyosafiri hata kufika Roma.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Huko tukakuta ndugu, tukasihiwa nao tukae siku saba; na hivi tukafika Rumi.