Acts 28:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliponihoji na kuona kwamba sikuwa na hatia yoyote, walitaka kuniachia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao walipokwisha kunihoji, wakataka kuniachia huru kwa sababu hawakuona kosa lolote nililolifanya linalostahili adhabu ya kifo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao walipokwisha kuniuliza-uliza walitaka kunifungua, kwa maana hapakuwa na sababu yo yote kwangu ya kuuawa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliniuliza maswali mengi, lakini hawakupata sababu yoyote kwa nini niuawe. Hivyo walitaka kuniachia huru.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Waliponihoji na kuona kwamba sikuwa na hatia yeyote, walitaka kuniacha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliponihoji na kuona kwamba sikuwa na hatia yoyote, walitaka kuniachia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao walipokwisha kunihoji, wakataka kuniachia huru kwa sababu hawakuona kosa lo lote nililolifanya linalostahili adhabu ya kifo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao walipokwisha kunihoji, wakataka kuniachia huru kwa sababu hawakuona kosa lolote nililolifanya linalostahili adhabu ya kifo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao walipokwisha kunihoji walitaka kunifungua, kwa maana hapakuwa na sababu yoyote kwangu ya kuuawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliponihoji na kuona kwamba sikuwa na hatia yoyote, walitaka kuniachia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliponiulizauliza wakataka kunifungua, kwa sababu kwangu hakuna neno linalopasa, niuawe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao walipokwisha kuniuliza-uliza walitaka kunifungua, kwa maana hapakuwa na sababu yo yote kwangu ya kuuawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walipokwisha kunisambisha, walitaka kunifungua kwa sababu hawakuniona na kosa linalonipasa kuuawa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hao walipokwisha kuniuliza walitaka kunifungua, kwa maana hapakuwa na sababu yo yote ya kuuawa kwangu.