Acts 28:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi yao walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi wakasadiki yale aliyosema, lakini wengine hawakuamini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wengine waliamini yale yaliyonenwa, wengine hawakuyaamini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya Wayahudi waliamini alichosema, lakini wengine hawakuamini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baadhi yao walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi yao walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi wakasadiki kwa yale aliyosema, lakini wengine hawakuamini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi wakasadiki yale aliyosema, lakini wengine hawakuamini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wengine waliamini yale yaliyonenwa, wengine hawakuyaamini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi yao walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine wakayaitikia maneno yake, wengine wakakataa kuyategemea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wengine waliamini yale yaliyonenwa, wengine hawakuyaamini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamoja wakasadiki maneno yaliyosemwa, lakini wengine hawakuyaamini.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wengine waliamini yaliyonenwa, wengine hawakuyaamini.