Acts 28:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akisema: ‘Nenda kwa watu hawa ukawaambie: Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Nenda kwa watu hawa na useme, “Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; na pia mtatazama, lakini hamtaona.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akisema, Enenda kwa watu hawa, ukawaambie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona, mtaona wala hamtatambua;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
‘Nenda kwa watu hawa na uwaambie: Mtasikiliza na kusikiliza, lakini hamtaelewa. Mtatazama na kutazama, lakini hakika hamtaona.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akisema: Nenda kwa watu hawa ukawaambie: kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akisema: ‘Nenda kwa watu hawa ukawaambie: kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Nenda kwa watu hawa na useme, “Kweli mtasikiliza lakini kamwe hamtaelewa; kweli mtatazama, lakini hamtaona.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Nenda kwa watu hawa na useme, “Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; na pia mtatazama, lakini hamtaona.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akisema, Nenda kwa watu hawa, ukawaambie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona, mtaona wala hamtatambua;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akisema: ‘Nenda kwa watu hawa ukawaambie: Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda kwao wa ukoo huu, useme: Kusikia mtasikia, lakini hamtajua maana; Kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akisema, Enenda kwa watu hawa, ukawaambie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona, mtaona wala hamtatambua;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaendee watu hawa na kuwaambia: Kusikia mutasikia, lakini hamutafahamu. Kuangalia mutaangalia, lakini hamutatambua.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Enenda kwa watu hawa, ukawaamhie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona mtaona, wala hamtapata kujua neno: