Acts 28:29 — Compare Translations
12 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Paulo alipokwisha sema hayo, Wayahudi walijiondokea huku wakiwa wanabishana vikali wao kwa wao.]
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada yake kusema maneno haya, Wayahudi wakaondoka wakiwa na hoja nyingi miongoni mwao.]
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipokwisha kusema hayo, Wayahudi wakaenda zao, wakiulizana mengi wao kwa wao.]
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Paulo alipokwisha sema hayo, Wayahudi walijiondokea huku wakiwa wanabishana vikali wao kwa wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akiisha kusema maneno haya, Wayahudi wakaondoka wakiwa na hoja nyingi miongoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akiisha kusema maneno haya, Wayahudi wakaondoka wakiwa na hoja nyingi miongoni mwao.]
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipokwisha kusema hayo, Wayahudi wakaenda zao, wakiulizana mengi wao kwa wao.]
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Paulo alipokwisha sema hayo, Wayahudi walijiondokea huku wakiwa wanabishana vikali wao kwa wao.]
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipovisema hivyo, Wayuda walikwenda wakibishana sana wao kwa wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipokwisha kusema hayo, Wayahudi wakaenda zao, wakiulizana mengi wao kwa wao.]
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Paulo alipokwisha kusema maneno haya, Wayuda wakaenda wakibishana sana wao kwa wao.]
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alipokwisha kusema haya, Wayahudi wakaenda zao, wakiulizana mengi wao kwa wao.