Acts 28:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa muda wa miaka miwili mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika kumsalimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa miaka miwili mizima Paulo alikaa huko kwa nyumba aliyokuwa amepanga. Akawakaribisha wote walioenda kumwona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akakaa muda wa miaka miwili mizima katika nyumba yake aliyokuwa ameipanga, akawakaribisha watu wote waliokuwa wakimwendea,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Paulo alikaa katika nyumba yake mwenyewe aliyopanga kwa miaka miwili kamili. Aliwakaribisha watu wote waliokuja kumtembelea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa muda wa miaka miwili mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika kumsalimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa muda wa miaka miwili mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika kumsalimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa miaka miwili mizima Paulo alikaa huko kwenye nyumba yake mwenyewe aliyokuwa amepanga. Akawakaribisha wote waliokwenda kumwona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa miaka miwili mizima Paulo alikaa huko kwa nyumba aliyokuwa amepanga. Akawakaribisha wote waliokwenda kumwona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akakaa muda wa miaka miwili kamili katika nyumba yake aliyokuwa ameipanga, akawakaribisha watu wote waliokuwa wakimwendea,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa muda wa miaka miwili mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika kumsalimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Paulo akakaa miaka miwili mzima katika nyumba yake, aliyokuwa ameipanga, akawapokea wote walioingia kwake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akakaa muda wa miaka miwili mizima katika nyumba yake aliyokuwa ameipanga, akawakaribisha watu wote waliokuwa wakimwendea,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Paulo akakaa miaka miwili katika nyumba aliyokuwa akijilipia yeye mwenyewe. Alikaribisha watu wote waliokuja kumwona.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Paolo akakaa muda wa miaka miwili mizima katika nyumba yake aliyokuwa ameipanga, akawakaribisha watu wote waliokuwa wakimwendea, akikhubiri khabari za ufalme wa Mungu, na kuwafundisha watu mambo ya Bwana Yesu Kristo, kwa ujasiri mwingi, asikatazwe na mtu.