Acts 28:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Paulo alikikungutia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Paulo akamkung’utia yule nyoka ndani ya moto wala yeye hakupata madhara yoyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yeye akamtukusia motoni asipate madhara.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Paulo alimku'ngutia nyoka kwenye moto na hakudhurika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Paulo alikikung'utia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Paulo alikikung'utia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Paulo akamkung'utia yule nyoka ndani ya moto wala yeye hakupata madhara yo yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Paulo akamkung’utia yule nyoka ndani ya moto wala yeye hakupata madhara yoyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yeye akamtukusia motoni asipate madhara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Paulo alikikungutia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipomkung'uta yule mdudu motoni, hakuna kiovu tena kilichompata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yeye akamtukusia motoni asipate madhara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Paulo akamukungutia yule nyoka katika moto wala hakumuzuru hata kidogo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini yeye akamtikisia motoni asipate madhara.