Acts 28:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jambo hili lilipotukia, watu wote wa kisiwa kile waliokuwa wagonjwa wakaja, nao wakaponywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yalipokwisha kutendeka hayo wengine waliokuwa na magonjwa katika kisiwa wakaja wakapozwa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya hili kutokea, wagonjwa wengine wote kisiwani walikuja kwa Paulo, naye aliwaombea na wakaponywa pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kutokana na tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jambo hili lilipotukia, watu wote wa kisiwa kile waliokuwa wagonjwa wakaja, nao wakaponywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jambo hili lilipotukia, watu wote wa kisiwa kile waliokuwa wagonjwa wakaja, nao wakaponywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yalipokwisha kutendeka hayo wengine waliokuwa na magonjwa katika kisiwa wakaja wakaponywa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo yalipokwisha kufanyika, nao wengine wa kisiwa kile waliokuwa wenye magonjwa wakamjia, wakaponywa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yalipokwisha kutendeka hayo wengine waliokuwa na magonjwa katika kisiwa wakaja wakapozwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kufuatana na jambo hilo, wagonjwa wengine waliokaa katika kisanga kile wakakuja, nao wakaponyeshwa vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yalipokwisha kutendeka hayo wengine waliokuwa na magonjwa katika kisiwa wakaja wakaponywa; nao wakatuheshimu kwa heshima nyingi.