Acts 3:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fanyeni hivyo ili Bwana awape nyakati za kuburudika rohoni na kuwaletea yule Kristo aliyemteua ambaye ndiye Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye apate kumtuma Al-Masihi, ambaye ameteuliwa kwa ajili yenu, yaani Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
apate kumtuma Kristo Yesu mliyewekewa tangu zamani;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Bwana atawapa muda wa faraja kutokana na masumbufu yenu. Atamtuma Yesu kwenu, aliyemchagua kuwa Masihi wenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Fanyeni hivyo ili Bwana awape nyakati za kuburudika rohoni na kuwaletea yule Kristo aliyemteua ambaye ndiye Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fanyeni hivyo ili Bwana awape nyakati za kuburudika rohoni na kuwaletea yule Kristo aliyemteua ambaye ndiye Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwamba apate kumtuma Kristo, ambaye amewekwa kwa ajili yenu, yaani Yesu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye apate kumtuma Al-Masihi, ambaye ameteuliwa kwa ajili yenu, yaani Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
apate kumtuma Kristo Yesu mliyewekewa tangu zamani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fanyeni hivyo ili Bwana awape nyakati za kuburudika rohoni na kuwaletea yule Kristo aliyemteua ambaye ndiye Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, zitakapowafikia nazo siku za kupoea usoni pa Bwana, tena ndipo, atakapopata kumtuma Kristo Yesu, mliyepewa kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
apate kumtuma Kristo Yesu mliyewekewa tangu zamani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi Bwana atawaletea nyakati za kutulizwa, naye atawatumia Masiya, ndiye Yesu, aliyechaguliwa tangu zamani kwa kuwaokoa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
apate kumtuma Kristo aliyekhubiriwa kwenu tangu zamani;