Acts 3:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeyote yule ambaye hatamsikiliza nabii huyo atatengwa mbali na watu wa Mungu na kuangamizwa.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu ambaye hatamsikiliza huyo nabii, atatupiliwa mbali kabisa na watu wake.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na itakuwa ya kwamba kila mtu asiyemsikiliza nabii huyo ataangamizwa na kutengwa na watu wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na yeyote atakayekataa kumtii nabii huyo atakufa na kutengwa na watu wa Mungu.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeyote yule ambaye hatamsikiliza nabii huyo atatengwa mbali na watu wa Mungu na kuangamizwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeyote yule ambaye hatamsikiliza nabii huyo atatengwa mbali na watu wa Mungu na kuangamizwa.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu ye yote ambaye hatamsikiliza huyo nabii, atakatiliwa mbali kabisa na watu wake.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu yeyote ambaye hatamsikiliza huyo nabii, atatupiliwa mbali kabisa na watu wake.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na itakuwa ya kwamba kila mtu asiyemsikiliza nabii huyo ataangamizwa na kutengwa na watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeyote yule ambaye hatamsikiliza nabii huyo atatengwa mbali na watu wa Mungu na kuangamizwa.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini itakuwa, kila mtu atakayekataa kumsikia yule mfumbuaji ataangamizwa, atengwe kabisa nao watu wa kwetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na itakuwa ya kwamba kila mtu asiyemsikiliza nabii huyo ataangamizwa na kutengwa na watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na mutu yeyote atakayekataa kumusikiliza nabii yule, atatengwa mbali na taifa la Mungu na kuuawa.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na itakuwa ya kwamba kilia mtu asiyemsikiliza nabii huyo ataangamizwa na kutengwa na watu wake.