Acts 3:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Manabii wote, kuanzia Samueli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku hizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Naam, manabii wote tangu Samweli na waliokuja baada yake, wote walitabiri kuhusu siku hizi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, na manabii wote tangu Samweli na wale waliokuja baada yake, wote walionena, walihubiri habari za siku hizi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Samweli, na manabii wengine wote walisema kwa niaba ya Mungu. Baada ya Samweli, walisema kuwa wakati huu ungekuja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Manabii wote, kuanzia Samweli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku hizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Manabii wote, kuanzia Samueli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku hizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Naam, manabii wote tangu Samweli na wale waliofuata baada yake, wote walionena walitabiri kuhusu siku hizi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Naam, manabii wote tangu Samweli na waliokuja baada yake, wote walitabiri kuhusu siku hizi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, na manabii wote tangu Samweli na wale waliokuja baada yake, wote walionena, walihubiri habari za siku hizi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Manabii wote, kuanzia Samueli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku hizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wafumbuaji wote toka kwa Samueli na wale waliofuata, wo wote waliosema, wamepiga mbiu za siku hizo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, na manabii wote tangu Samweli na wale waliokuja baada yake, wote walionena, walihubiri habari za siku hizi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na manabii waliosema tangia Samweli na wale waliomufuata, wote walitangaza mambo haya yanayotokea siku hizi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Naam, na manabii wote tangu Samwil na wale waliokuja nyuma yake, wote walionena, walikhubiri khabari za siku hizi.