Acts 3:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akawageukia, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo yule mtu akawatazama, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaangalia, akitaraji kupata kitu kwao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akawatazama akitumaini kuwa wangempa pesa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye akawageukia, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akawageukia, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo yule mtu akawatazama, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo yule mtu akawatazama, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaangalia, akitaraji kupata kitu kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akawageukia, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipowatumbulia macho akingoja, watakachompa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaangalia, akitaraji kupata kitu kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule kiwete akawaangalia, akitumainia kupata kitu fulani toka kwao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaangalia, akitaraja kupewa kitu nao.