Acts 4:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini walipomwona yule mtu aliyeponywa amesimama pamoja nao, hawakuweza kusema kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa kuwa walikuwa wanamwona yule kiwete aliyeponywa amesimama pale pamoja nao, hawakuweza kusema lolote kuwapinga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakimwona yule aliyeponywa akisimama pamoja nao hawakuwa na neno la kujibu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walimwona aliyeponywa akiwa amesimama kwa miguu yake mwenyewe pembeni mwa mitume. Na hivyo walishindwa kuzungumza chochote kilicho kinyume na mitume.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini walipomwona yule mtu aliyeponywa amesimama pamoja nao, hawakuweza kusema kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini walipomwona yule mtu aliyeponywa amesimama pamoja nao, hawakuweza kusema kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa kuwa walikuwa wanamwona yule kiwete aliyeponywa amesimama pale pamoja nao, hawakuweza kusema lo lote kuwapinga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa kuwa walikuwa wanamwona yule kiwete aliyeponywa amesimama pale pamoja nao, hawakuweza kusema lolote kuwapinga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakimwona yule aliyeponywa akisimama pamoja nao hawakuwa na neno la kujibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini walipomwona yule mtu aliyeponywa amesimama pamoja nao, hawakuweza kusema kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walipomtazama yule mtu aliyeponywa, anavyosimama pamoja nao, hawakuwa na neno la kujibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakimwona yule aliyeponywa akisimama pamoja nao hawakuwa na neno la kujibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kufuatana na vile walivyomwona mutu yule aliyeponyeshwa akisimama pale pamoja nao, wakakosewa na la kusema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wakimwona yule aliyeponywa akisimama pamoja nao hawakuwa na neno la kujibu.