Acts 4:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi, ili wasemezane jambo hilo wao wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakafanya shauri wao kwa wao,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Viongozi wa Kiyahudi wakawaambia mitume watoke nje ya chumba cha mkutano wa baraza. Kisha viongozi wakajadiliana wao wenyewe juu ya nini wanachopaswa kufanya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawaamuru watoke nje ya baraza wakati wakisemezana jambo hilo wao kwa wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi wakati wakisemezana jambo hilo wao kwa wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakashauriana wao kwa wao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawaagiza, watoke barazani kwao wakuu kwenda nje, wakala njama wao kwa wao
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakafanya shauri wao kwa wao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakawaamuru watoke katika Baraza Kubwa na kwenda inje, nao wakaulizana shauri wao kwa wao,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakafanya shauri, wakisemii, Tuwafanyieni watu hawa?