Acts 4:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo wakawaita tena ndani, wakawaonya wasiongee tena hadharani, wala kufundisha kwa jina la Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakawaita tena ndani na kuwaamuru wasiseme wala kufundisha kamwe kwa hili jina la Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawaita, wakawaamuru wasiseme kabisa wala kufundisha kwa jina la Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo viongozi wa Kiyahudi wakawaita Petro na Yohana ndani tena. Wakawaambia wasiseme wala kufundisha kitu chochote kwa kutumia jina la Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hiyo wakawaita tena ndani, wakawaonya wasiongee tena hadharani, wala kufundisha kwa jina la Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo wakawaita tena ndani, wakawaonya wasiongee tena hadharani, wala kufundisha kwa jina la Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakawaita tena ndani na kuwaamuru wasiseme wala kufundisha kamwe kwa hili jina la Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakawaita tena ndani na kuwaamuru wasiseme wala kufundisha kamwe kwa hili jina la Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakawaita, wakawaamuru wasiseme kabisa wala kufundisha kwa jina la Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo wakawaita tena ndani, wakawaonya wasiongee tena hadharani, wala kufundisha kwa jina la Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakawaita, wakawakemea kabisa, wasiseme tena na kufundisha mambo ya Jina la Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawaita, wakawaamuru wasiseme kabisa wala kufundisha kwa jina la Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakawaita tena na kuwakataza kabisa kusema na kufundisha kwa jina la Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakawaita, wakawaagiza wasiseme kabisa wala kufundisha kwa jina la Yesu.