Acts 4:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao waliposikia habari hizo waliungana pamoja katika kumwomba Mungu wakisema, “Bwana, wewe ni Muumba wa mbingu na dunia, bahari na vyote vilivyomo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu waliposikia hayo, wakapaza sauti zao, wakamwomba Mungu kwa pamoja, wakisema, “Bwana Mungu Mwenyezi, uliyeziumba mbingu na nchi na bahari, na vitu vyote vilivyomo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao waliposikia, wakampazia Mungu sauti zao kwa moyo mmoja, wakisema, Mola, wewe ndiwe Mungu, ndiwe uliyefanya mbingu na nchi na bahari na vitu vyote vilivyomo;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waamini waliposikia hili, wote kwa pamoja wakamwomba Mungu wakiwa na nia moja. Wakasema, “Bwana wa wote, wewe ndiye uliyeumba mbingu, dunia, bahari na kila kitu ulimwenguni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Waliposikia habari hiyo waliungana pamoja katika kumwomba Mungu wakisema, “Bwana, wewe ni Muumba wa mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao waliposikia habari hizo waliungana pamoja katika kumwomba Mungu wakisema, “Bwana, wewe ni Muumba wa mbingu na dunia, bahari na vyote vilivyomo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu hao waliposikia hayo, wakainua sauti zao wakamwomba Mungu kwa pamoja, wakisema, “Bwana Mwenyezi, uliyeumba mbingu na nchi na bahari, na vitu vyote vilivyomo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu waliposikia hayo, wakainua sauti zao, wakamwomba Mungu kwa pamoja, wakisema, “Bwana Mwenyezi, uliyeziumba mbingu na nchi na bahari, na vitu vyote vilivyomo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao waliposikia, wakampazia Mungu sauti zao kwa moyo mmoja, wakisema, Mola, wewe ndiwe Mungu, ndiwe uliyefanya mbingu na nchi na bahari na vitu vyote vilivyomo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao waliposikia habari hizo waliungana pamoja katika kumwomba Mungu wakisema, “Bwana, wewe ni Muumba wa mbingu na dunia, bahari na vyote vilivyomo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoyasikia, ndipo, wote pamoja walipompalizia Mungu sauti na kusema: Bwana, wewe ndiwe uliyezifanya mbingu na nchi na bahari navyo vyote vilivyomo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao waliposikia, wakampazia Mungu sauti zao kwa moyo mmoja, wakisema, Mola, wewe ndiwe Mungu, ndiwe uliyefanya mbingu na nchi na bahari na vitu vyote vilivyomo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao waliposikia habari hii, wote wakamwomba Mungu kwa nia moja, wakisema: “Ee Bwana, ni wewe uliyeumba mbingu, dunia na bahari na vitu vyote vinavyokuwa ndani yao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao waliposikia, wakampaazia Mungu sauti zao kwa moyo mmoja, wakisema, Mola, wewe ndiwe Mungu, ndiwe uliyefanya mbingu na inchi na bahari na vitu vyote vilivyomo: