Acts 4:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme wa dunia walijiweka tayari, na watawala walikutana pamoja, dhidi ya Bwana na dhidi ya Kristo wake.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme wa dunia wamejipanga, na watawala wanakusanyika pamoja dhidi ya Mwenyezi Mungu na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafalme wa dunia wamejipanga, Na wakuu wamefanya shauri pamoja Juu ya Bwana na juu ya Kristo wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafalme wa dunia hujiandaa kwa mapigano, na watawala hukusanyika pamoja kinyume na Bwana na kinyume na Masihi wake.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wafalme wa dunia walijiweka tayari, na watawala walikutana pamoja, ili kumwasi Bwana na Kristo wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme wa dunia walijiweka tayari, na watawala walikutana pamoja, dhidi ya Bwana na dhidi ya Kristo wake.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafalme wa dunia wamejipanga na watawala wanakusanyika pamoja dhidi ya Bwana na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafalme wa dunia wamejipanga, na watawala wanakusanyika pamoja dhidi ya Mwenyezi Mungu na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafalme wa dunia wamejipanga, Na wakuu wameshauriana pamoja Juu ya Bwana na juu ya Kristo wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme wa dunia walijiweka tayari, na watawala walikutana pamoja, dhidi ya Bwana na dhidi ya Kristo wake.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona makabila ya watu huwaza mambo yaliyo ya bure? Wafalme wa nchi hushikana mioyo? wakuu nao hula njama wakikaa pamoja, wamkatae Bwana na Kristo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafalme wa dunia wamejipanga, Na wakuu wamefanya shauri pamoja Juu ya Bwana na juu ya Kristo wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafalme wanajikusanya, wakubwa wanafanya shauri wapate kumwasi Bwana, naye Kristo aliyemuchagua.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wafalme wa dunia wamejipanga, Na wakuu wamefanya shauri pamoja, Juu ya Bwana na juu ya Kristo wake.