Acts 4:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, walikutana ili wafanye mambo yale uliyokusudia na kupanga tangu mwanzo kwa uwezo wako na mapenzi yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakafanya yale uweza wako na mapenzi yako yalikusudia yatokee tangu zamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili wafanye yote ambayo mkono wako na mashauri yako yamekusudia tangu zamani yatokee.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu hawa waliokusanyika pamoja kinyume na Yesu waliwezesha mpango wako kukamilika. Ilifanyika kwa sababu ya nguvu zako na matakwa yako.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naam, walikutana ili wafanye yale ambayo ulikusudia na kupanga tangu mwanzo kwa uwezo wako na mapenzi yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, walikutana ili wafanye mambo yale uliyokusudia na kupanga tangu mwanzo kwa uwezo wako na mapenzi yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao wakafanya yale ambayo uweza wako na mapenzi yako yalikuwa yamekusudia yatokee tangu zamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao wakafanya yale ambayo uweza wako na mapenzi yako yalikuwa yamekusudia yatokee tangu zamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili wafanye yote ambayo mkono wako na mashauri yako yamekusudia tangu zamani yatokee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, walikutana ili wafanye mambo yale uliyokusudia na kupanga tangu mwanzo kwa uwezo wako na mapenzi yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wayafanye yote, uliyomtakia kale kwa mkono wako na kwa mapenzi yako, kwamba yatimie papo hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili wafanye yote ambayo mkono wako na mashauri yako yamekusudia tangu zamani yatokee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi walitimiza mambo uliyokuwa umekusudia tangu zamani kwa uwezo wako na kwa mapenzi yako.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi wafanye yote ambayo mkono wako na mashauri yako yamekusudia tangu zamani yatokee.