Acts 4:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mitume walishuhudia kwa nguvu nyingi kufufuka kwa Bwana Yesu, naye Mungu akawapa baraka nyingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwa Bwana Isa kwa nguvu nyingi na neema ya Mungu ilikuwa juu yao wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwake Yesu kwa nguvu nyingi, na neema nyingi ikawa juu yao wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa nguvu kuu mitume walifanya ijulikane kwa kila mmoja kwamba Bwana Yesu alifufuliwa kutoka kwa wafu. Na Mungu aliwabariki sana waamini wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mitume walishuhudia kwa nguvu nyingi kufufuka kwa Bwana Yesu, naye Mungu akawapa baraka nyingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mitume walishuhudia kwa nguvu nyingi kufufuka kwa Bwana Yesu, naye Mungu akawapa baraka nyingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwa Bwana Yesu kwa nguvu nyingi na neema ya Mungu ilikuwa juu yao wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwa Bwana Isa kwa nguvu nyingi na neema ya Mungu ilikuwa juu yao wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwake Yesu kwa nguvu nyingi, na neema nyingi ikawa juu yao wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mitume walishuhudia kwa nguvu nyingi kufufuka kwa Bwana Yesu, naye Mungu akawapa baraka nyingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mitume wakaushuhudia ufufuko wa Bwana Yesu kwa nguvu nyingi, magawio makuu ya Mungu yakiwakalia wao wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwake Yesu kwa nguvu nyingi, na neema nyingi ikawa juu yao wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao mitume walishuhudia ufufuko wa Bwana Yesu kwa uwezo mukubwa, na Mungu akawabariki wote sana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwake Yesu kwa uguvu nyingi. Neema nyingi ikawa juu yao wote.