Acts 4:36 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulikuwa na Mlawi mmoja, mzaliwa wa Kupro, jina lake Yosefu, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake, “Mtu mwenye kutia moyo”).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yusufu, Mlawi kutoka Kipro, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake Mwana wa Faraja),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yusufu, aliyeitwa na mitume Barnaba, (maana yake, Mwana wa faraja), Mlawi, asili yake ni mtu wa Kipro,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mmoja wa waamini aliitwa Yusufu. Mitume walimwita Barnaba, jina linalomaanisha “Mtu anayewatia moyo wengine.” Alikuwa Mlawi mzaliwa wa Kipro.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kulikuwa na Mlawi mmoja, mzaliwa wa Kupro, jina lake Yosefu, ambaye mitume walimwita jina Barnaba (maana yake, “Mtu mwenye kutia moyo”).
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulikuwa na Mlawi mmoja, mzaliwa wa Kupro, jina lake Yosefu, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake, “Mtu mwenye kutia moyo”).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosefu, Mlawi kutoka Kipro, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake Mwana wa Faraja),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yusufu, Mlawi kutoka Kipro, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake Mwana wa Faraja),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yusufu, aliyeitwa na mitume Barnaba, (maana yake, Mwana wa faraja), Mlawi, asili yake ni mtu wa Kipro,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulikuwa na Mlawi mmoja, mzaliwa wa Kupro, jina lake Yosefu, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake, “Mtu mwenye kutia moyo”).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikuwa na Mlawi aliyetoka Kipuro, jina lake Yosefu, aliyeitwa na mitume Barnaba, maana yake Mwana wa Tulizo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yusufu, aliyeitwa na mitume Barnaba, (maana yake, Mwana wa faraja), Mlawi, asili yake ni mtu wa Kipro,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kulikuwa Mulawi mumoja muzaliwa wa kisanga cha Kipuro, jina lake Yosefu. Mitume walimwita kwa jina lingine la Barnaba, maana yake “Mwenye kutia moyo.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Yusuf, aliyeitwa na mitume Barnaba (tafsiri yake, Mwana wa faraja), Mlawi, asili yake ni mtu wa Kupro,