Acts 4:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na waalimu wa sheria walikusanyika pamoja huko Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na walimu wa Torati walikusanyika Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata asubuhi wakubwa na wazee na waandishi wakakusanyika Yerusalemu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku iliyofuata, watawala wa Kiyahudi, wazee na walimu wa sheria walikutana Yerusalemu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na walimu wa Sheria, walikusanyika pamoja huko Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na waalimu wa sheria walikusanyika pamoja huko Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya pili yake viongozi wa Kiyahudi, wazee na waandishi wa sheria wakakusanyika Yerusalemu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho yake, viongozi wa Kiyahudi, wazee na walimu wa Torati wakakusanyika Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kesho yake, wakubwa na wazee na waandishi wakakusanyika Yerusalemu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na waalimu wa sheria walikusanyika pamoja huko Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulipokucha, wakakusanyika Yerusalemu wakubwa wao na wazee na waandishi
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata asubuhi wakubwa na wazee na waandishi wakakusanyika Yerusalemu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake, wasimamizi wa Wayuda, wazee na walimu wa Sheria wakakusanyika Yerusalema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta assubuhi wakubwa na wazee na waandishi wakakusanyika Yerusalemi,