Acts 4:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikutana pamoja na Anasi kuhani mkuu, Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walikuwemo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Anasi Kuhani Mkuu, na Kayafa pia, na Yohana na Iskanda, na wote wale waliokuwa jamaa zake Kuhani Mkuu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuhani mkuu Anasi alikuwepo. Kayafa, Yohana, Iskanda na jamaa wengine wa kuhani mkuu walikuwepo pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walikutana pamoja na Anasi, Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa Kuhani Mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikutana pamoja na Anasi kuhani mkuu, Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
walikuwepo Kuhani Mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda na wengi wa jamaa ya Kuhani Mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walikuwepo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Anasi Kuhani Mkuu, na Kayafa pia, na Yohana na Iskanda, na wote wale waliokuwa jamaa zake Kuhani Mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikutana pamoja na Anasi kuhani mkuu, Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na mtambikaji mkuu Ana na Kayafa na Yohana na Alekisandro nao wote waliokuwa wa ukoo wa mtambikaji mkuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Anasi Kuhani Mkuu, na Kayafa pia, na Yohana na Iskanda, na wote wale waliokuwa jamaa zake Kuhani Mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulikuwa vilevile Kuhani Mukubwa Anasi, Kayafa, Yoane, Alesanduro na watu wengine wote wa ukoo wa Kuhani Mukubwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na Kayafa pia, na Yohana, na Iskander, na wo wote waliokuwa jamaa zake kuhani mkuu.