Acts 4:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipowasimamisha mitume mbele yao, waliwauliza, “Nyinyi mmefanya jambo hili kwa nguvu gani na kwa jina la nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kuwasimamisha Petro na Yohana katikati yao, wakawauliza, “Ni kwa uwezo gani au kwa jina la nani mmefanya jambo hili?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walipowaweka katikati wakawauliza, Kwa nguvu gani na kwa jina la nani ninyi mmefanya haya?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliwasimamisha Petro na Yohana mbele ya watu wote. Wakawauliza maswali mengi, “Mliwezaje kumponya mlemavu wa miguu huyu? Mlitumia nguvu gani? Mmefanya hili kwa mamlaka ya nani?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Waliwasimamisha mitume mbele yao, wakawauliza, “Ninyi mmefanya jambo hili kwa nguvu gani na kwa jina la nani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipowasimamisha mitume mbele yao, waliwauliza, “Nyinyi mmefanya jambo hili kwa nguvu gani na kwa jina la nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakiisha kuwasimamisha Petro na Yohana katikati yao, wakawauliza, “Ni kwa uwezo gani au kwa jina la nani mmefanya jambo hili?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kuwasimamisha Petro na Yohana katikati yao, wakawauliza, “Ni kwa uwezo gani au kwa jina la nani mmefanya jambo hili?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walipowaweka katikati wakawauliza, Kwa nguvu gani na kwa jina la nani ninyi mmefanya haya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipowasimamisha mitume mbele yao, waliwauliza, “Nyinyi mmefanya jambo hili kwa nguvu gani na kwa jina la nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakawasimamisha katikati, wakawauliza: Hilo ninyi mmelifanya kwa nguvu ya nani au kwa jina la nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walipowaweka katikati wakawauliza, Kwa nguvu gani na kwa jina la nani ninyi mmefanya haya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakasimamisha Petro na Yoane mbele yao na kuwauliza: “Ni kwa uwezo gani au kwa jina la nani ninyi mumefanya jambo lile?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakawaweka katikati, wakawauliza, Kwa nguvu gani na kwa jina la nani mmefanya haya ninyi?