Acts 4:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, Petro, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akawaambia, “Viongozi na wazee wa watu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Petro, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu wa Mungu, akajibu, “Enyi watawala na wazee wa watu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia, Enyi wakubwa wa watu na wazee wa Israeli,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akawaambia, “Enyi watawala nanyi wazee wa watu,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo, Petro, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akawaambia, “Viongozi na wazee wa watu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, Petro, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akawaambia, “Viongozi na wazee wa watu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Petro akiwa amejaa Roho Mtakatifu akajibu, “Enyi watawala na wazee wa watu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Petro, akiwa amejaa Roho wa Mwenyezi Mungu, akajibu, “Enyi watawala na wazee wa watu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia, Enyi wakubwa wa watu na wazee wa Israeli,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, Petro, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akawaambia, “Viongozi na wazee wa watu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Petero alipojaa Roho takatifu, akawaambia: Nyie wakubwa wa watu wa kwetu na wazee,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia, Enyi wakubwa wa watu na wazee wa Israeli,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Petro akiwa amejazwa na Roho Mutakatifu, akawajibu: “Ninyi wasimamizi wa watu, nanyi wazee:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia,