Acts 5:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara Safira akaanguka mbele ya miguu ya Petro, akafa. Wale vijana walipoingia, walimkuta amekwisha kufa; hivyo wakamtoa nje, wakamzika karibu na mume wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ule ule, akaanguka chini miguuni mwake na kufa. Nao wale vijana wakaingia, wakamkuta amekufa, wakamchukua wakamzika kando ya mumewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara akaanguka miguuni pake akafa; wale vijana wakaingia wakamkuta amekufa, wakamchukua nje, wakamzika pamoja na mumewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Safira akaanguka miguuni kwa Petro na kufa papo hapo. Vijana wakaingia, walipomwona amekwisha kufa, walimchukua na kumzika kando ya mume wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mara Safira akaanguka mbele ya miguu ya Petro, akafa. Wale vijana walipoingia, walimkuta amekwisha kufa; hivyo wakamtoa nje, wakamzika karibu na mume wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara Safira akaanguka mbele ya miguu ya Petro, akafa. Wale vijana walipoingia, walimkuta amekwisha kufa; hivyo wakamtoa nje, wakamzika karibu na mume wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Saa ile ile akaanguka chini miguuni mwake na kufa, wale vijana wakaingia, wakamkuta amekufa, wakamchukua wakamzika kando ya mumewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Saa ile ile akaanguka chini miguuni mwake na kufa. Nao wale vijana wakaingia, wakamkuta amekufa, wakamchukua wakamzika kando ya mumewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara akaanguka miguuni pake akafa; wale vijana wakaingia wakamkuta amekufa, wakamchukua nje, wakamzika pamoja na mumewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara Safira akaanguka mbele ya miguu ya Petro, akafa. Wale vijana walipoingia, walimkuta amekwisha kufa; hivyo wakamtoa nje, wakamzika karibu na mume wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo akaanguka chini miguuni pake, akakata roho. Wale vijana walipoingia na kumkuta, amekufa, wakampeleka nje, wakamzika hapo pa mumewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara akaanguka miguuni pake akafa; wale vijana wakaingia wakamkuta amekufa, wakamchukua nje, wakamzika pamoja na mumewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara moja Safira akaanguka chini mbele ya Petro na kufa. Halafu wale vijana wakaingia ndani, wakamukuta amekwisha kufa. Basi wakamubeba mbali na muji na kumuzika kule karibu na mume wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra akaanguka miguuni pake akafa: wale vijana wakaingia wakamkuta amekufa, wakamchukua nje, wakamzika pamoja na mumewe.