Acts 5:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hofu kubwa ikalikumba kanisa lote na wote waliosikia habari za tukio hilo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hofu kuu ikalipata kundi la waumini wa Isa lote, pamoja na watu wote waliosikia kuhusu matukio haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hofu nyingi ikawapata kanisa lote na watu wote walioyasikia haya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kanisa lote na watu wote waliosikia kuhusu hili waliingiwa hofu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kanisa lote pamoja na wote waliosikia habari ya tukio hilo, waliogopa sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hofu kubwa ikalikumba kanisa lote na wote waliosikia habari za tukio hilo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hofu kuu ikalipata kanisa lote pamoja na watu wote waliosikia juu ya matukio haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hofu kuu ikawapata waumini wote pamoja na watu wote waliosikia juu ya matukio haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hofu kubwa ikalipata kanisa lote na watu wote walioyasikia haya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hofu kubwa ikalikumba kanisa lote na wote waliosikia habari za tukio hilo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, woga mwingi ulipowaingia wateule wote nao wote walioyasikia haya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hofu nyingi ikawapata kanisa lote na watu wote walioyasikia haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, kanisa lote na wote waliosikia habari ile wakashikwa sana na woga.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Khofu nyingi ikawapata kanisa lote na watu wote walioyasikia haya.