Acts 5:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Idadi ya watu waliomwamini Bwana, wanaume kwa wanawake, iliongezeka zaidi na zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, waliomwamini Bwana Isa wakazidi kuongezeka, wanaume na wanawake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
walioamini wakazidi kuongezeka kwa Bwana, wengi, wanaume na wanawake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wengi zaidi na zaidi walimwamini Bwana; na watu wengi, wanaume kwa wanawake waliongezwa katika kundi la waamini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Idadi ya watu waliomwamini Bwana, wanaume kwa wanawake, iliongezeka zaidi na zaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Idadi ya watu waliomwamini Bwana, wanaume kwa wanawake, iliongezeka zaidi na zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wengi walioamini idadi kubwa ya wanaume na wanawake wakaongezeka kwa Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, waliomwamini Bwana Isa wakazidi kuongezeka, wanaume na wanawake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
walioamini wakazidi kuongezeka kwa Bwana, wengi, wanaume na wanawake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Idadi ya watu waliomwamini Bwana, wanaume kwa wanawake, iliongezeka zaidi na zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliomtegemea Bwana wakaongezeka sana, ni vikundi vizima vya wanaume na vya wanawake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
walioamini wakazidi kuongezeka kwa Bwana, wengi, wanaume na wanawake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesabu ya watu waliomwamini Bwana, wanaume na wanawake, ilizidi kuongezeka sana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
waamini wakazidi kuja kwa Bwana, wengi, wanaume ha wanawake: