Acts 5:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakawatia nguvuni, wakawafunga ndani ya gereza kuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakawakamata mitume na kuwafunga gerezani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakawakamata mitume wakawaweka ndani ya gereza;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliwakamata mitume na kuwafunga katika gereza la mji.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakawatia nguvuni, wakawafunga ndani ya gereza kuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakawatia nguvuni, wakawafunga ndani ya gereza kuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakawakamata mitume na kuwatia gerezani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawakamata mitume na kuwatia gerezani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakawakamata mitume wakawaweka ndani ya gereza;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakawatia nguvuni, wakawafunga ndani ya gereza kuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakawakamata mitume, wakawafunga na kuwapeleka kifungoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakawakamata mitume wakawaweka ndani ya gereza;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakafunga mitume na kuwapeleka ndani ya nyumba kubwa ya kifungo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakawakamata mitume wakawaweka ndani ya gereza;