Acts 5:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini usiku malaika wa Bwana aliifungua milango ya gereza, akawatoa nje, akawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wakati wa usiku, malaika wa Mwenyezi Mungu akaja, akafungua milango ya gereza na akawatoa nje. Akawaambia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wakati wa usiku, malaika wa Bwana alifungua milango ya gereza. Malaika akawaongoza mitume nje ya gereza na kusema,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini usiku malaika wa Bwana aliifungua milango ya gereza, akawatoa nje, akawaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini usiku malaika wa Bwana aliifungua milango ya gereza, akawatoa nje, akawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wakati wa usiku malaika wa Bwana akaja akafungua milango ya gereza akawatoa nje akawaambia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wakati wa usiku, malaika wa Mwenyezi Mungu akaja, akafungua milango ya gereza na akawatoa nje. Akawaambia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini usiku malaika wa Bwana aliifungua milango ya gereza, akawatoa nje, akawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini usiku malaika wa Bwana akaifungua milango ya kifungoni, akawatoa, akasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini usiku malaika wa Bwana akafungua milango ya kifungo, akawaondosha mitume mule na kuwaambia:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,