Acts 5:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nendeni mkasimame hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya uhai huu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nendeni, mkasimame Hekaluni, mkawaambie watu maneno yote ya maisha haya mapya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enendeni mkasimame hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya Uzima huu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Nendeni mkasimame katika eneo la Hekalu. Waelezeni watu kila kitu kuhusu maisha haya mapya.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Nendeni mkasimame Hekaluni na kuwaambia watu kila kitu kuhusu maisha haya mapya.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nendeni mkasimame hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya uhai huu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nendeni, mkasimame Hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya uzima huu mpya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nendeni, mkasimame Hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya uzima huu mpya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nendeni mkasimame hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya Uzima huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nendeni mkasimame hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya uhai huu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nendeni, msimame Patakatifu kuwaambia watu wa kwenu maneno yote ya uzima huo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enendeni mkasimame hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya Uzima huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mwende ndani ya hekalu na mutangaze kwa watu maneno yote yanayoelekea uzima mupya.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Enendeni mkasimame hekaluni mkawaambie watu maneno yote ya uzima huu.