Acts 5:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hao watumishi walipofika huko hawakuwakuta mle gerezani. Hivyo walirudi, wakatoa taarifa mkutanoni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wale walinzi wa Hekalu walipoenda gerezani hawakuwakuta mitume mle. Kwa hiyo wakarudi na kutoa habari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata watumishi walipofika hawakuwaona gerezani, wakarudi wakatoa habari,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wale walipokwenda gerezani, hawakuwaona mitume. Hivyo walirudi na kuwaambia viongozi wa Kiyahudi kuhusu hili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini hao watumishi walipofika huko hawakuwakuta mle gerezani. Hivyo walirudi, wakatoa taarifa mkutanoni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hao watumishi walipofika huko hawakuwakuta mle gerezani. Hivyo walirudi, wakatoa taarifa mkutanoni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wale walinzi wa Hekalu walipokwenda gerezani hawakuwakuta wale mitume mle. Kwa hiyo wakarudi na kutoa habari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wale walinzi wa Hekalu walipokwenda gerezani hawakuwakuta mitume mle. Kwa hiyo wakarudi na kutoa habari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati watumishi walipofika hawakuwaona gerezani, wakarudi wakatoa habari,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hao watumishi walipofika huko hawakuwakuta mle gerezani. Hivyo walirudi, wakatoa taarifa mkutanoni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao watumishi walipofika hawakuwaona kifungoni, wakarudi, wakaleta habari
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata watumishi walipofika hawakuwaona gerezani, wakarudi wakatoa habari,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wale walinzi waliotumwa walipofika, hawakuwakuta mitume ndani ya kifungo. Basi wakarudi na kutoa habari hii:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta watumishi walipofika hawakuwaona gerezani,